nitumie dawa gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nitumie dawa gani?

Discussion in 'JF Doctor' started by kanewi, Aug 26, 2012.

 1. k

  kanewi JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Kuna vinyama vidogo vimenitokea pembezoni mwa uume, haviumi ila ni vidogo vitatu, kama ambavyo wengine vinawatokea mikononi, usoni na sehemu zingine za mwili.

  Mimi vipo pembeni kidogo na uume kuna wakati huwasha sana na vina mda mrefu kidogo yapata mwaka sasa. Mama Ngina juzi wakati tunahama dunia kwenda kwenye maraha akaniuliza, hivi ukivikata inakuwaje?

  Nisaidieni cha kufanya, nivikate au kuna dawa gani ya kuviondoa kabisa maana naona mama ngina wangu kama anakereke navyo.
   
 2. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Usikate! Waone madaktari, hasa wa ngozi watakusaidia!
   
Loading...