Nitoke vipi hapa...

Angalia movie The god must be crazy.Gari inavutwa mpaka inapanda juu ya mti
 
kwani umeingiaje? mbona wakati unaingi hujatuambia? acha kusumbua akili zetu kwa maswali kama haya bana
 
Mkuu, Hii ni Jeep Wrangler. Hapo ni cha mtoto unapita bila tatizo lolote, Na kama kuna aliekwama unamvuta tuu!
 
alivyoingia ndio hivyo hivyo atakavyotoka
 
Hapa anatokaje huyu...[/QUOTE]

Mkuu, Tengeneza njia yako popote utakapo linapita tuu. Usipime kabisa hii kitu, Wrangler Rubicon. Jaribu na Nissan au Toyota uone!

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…