Nitoeje virusi kwenye Samsung S 4

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
Wakuu naomba msaada,natumia Samsung s4,phone memory ilikuwa inasoma free memory ni 12gb nilidownload app tatu hivi zenye jumla ya 45mb,nashangaa zimebaki 3.4GB ntu,ninashaka sim yangu imepata virus I,naomba msaada wakuu
 
Ni mara chache sana hizi simu kuwa na virus
That is the way I know!
 
Hilo ndo limepelekea usemee kuna virus?? hakuna virus hapo tatizo ni apps tu ulizotupia..
Tupe maeleo kamili, ni apps gani ukizotumia na ulifanya nini, na je ukiaccess kuangalia memory usage pale unaona nini maana unaweza ona memory space allocation vizuri tu ukajua size kubwa imeenda wapi.. kwa nini wengi hua wanakimbilia virus?
 
Hivi simu nazo zinaingiliwa na kirusi? Karibu kuireset!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mkuu nilidownload pic frame na twinpicture na instragram,nkashangaa imetumia 4gb,halafu Niki connect na computer inakataa kusoma. Juzi nilijaribu kuhamisha movie toka laptop flan ili nije niingize kwangu,kumbe ile laptop ilikuwa imeathirika balaa!Ndo mana nahisi hivyo
 

Kirusi cha laptop hakiwezi kuaffect simu, hiyo ni explanation nyepesi zaidi, ukitaka kujua in details kwa nini unaweza uliza nkakwambia... ni kama uniambie uweke flash drive kwenye machinenyenye windows afu uiweke kwenye mac afu iaffect si kweli.. kwa hiyo kirusi hujakipata kutoka kwnye computer.. kwa nini usifungue kwenye settings uone memory imetumika sehemu zipi na zipi kabla ya kuconclude? watu hawatengenezi virus za android zenye kujiduplicate kujaza simu, hamna anayefanya hivo siku hizi.. software engineer huo muda angetumia kutengeneza android software akauza, virus wanazotengeneza labda kuiba data ambazo hata mb mbili haifiki ni code nyepesi sana.. kuna kitu kinaitwa cache pia hua software unayo lakini inaweza ikawa na files nyingi inatunza ni bora kuangalia
 
Nashukuru sana Mkuu Kwa Ushauri wako.each a niufanyie kazi..
 
Kama huja clear cache memory yako itaonekana imetumika sana na uki clear inarudi kawaida
 
Hivi kache ni kitu gani? Msinicheke mi najifunza!!!
 
Hivi kache ni kitu gani? Msinicheke mi najifunza!!!

Ni kumbukumbu zinazotunzwa na application pia browser kwa ajili ya matumizi ya baadae. Mfano kwenye iPhone application kama Facebook huhifadhi hizo data (cache) na kufanya app ifunguke haraka pindi unapoifungua tena. Pia kwenye application kama maps huwa zina store kwa ajili ya matumizi ya offline mode kwamba hata kama data itakuwa off utaendelea kutumia



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…