Bornvilla JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 924 Reaction score 272 Dec 29, 2014 #1 Nilinunua umeme wa luku kwa nmb mobile token ikaja lakini ile ya screen tu. Kawaida huwa inakuja sms ya kawaida. Chakushangaza sms ya kawaida haikuja. Sasa naomba wadau mnisaidie Kuona screened sms kwenye Simu yangu ya tecno P5.
Nilinunua umeme wa luku kwa nmb mobile token ikaja lakini ile ya screen tu. Kawaida huwa inakuja sms ya kawaida. Chakushangaza sms ya kawaida haikuja. Sasa naomba wadau mnisaidie Kuona screened sms kwenye Simu yangu ya tecno P5.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,991 Reaction score 30,188 Dec 29, 2014 #2 mie pia nna P5 imeshawai nitokea ila hua nna skrinshot
Bornvilla JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 924 Reaction score 272 Dec 29, 2014 Thread starter #3 Hiyo njia ya screenshot nimeipenda. Kwasasa shida kubwa nipate ile token ya luku.