Duuh! Sawa mi muongo, niwekee link ya comment yako inayofundisha pengine mi ndo sikuiona
snipa .....KAMA UMEZALIWA 1996 USISUMBUKE MAANA SINA TABIA YA KUBISHANA NA WATOTO
(hii ipo kwenye screenshort yako uliyoweka kule kuhusu tigo na facebook)
Chief-Mkwawa humu kuna kizazi cha Facebook hivyo kuwa makini
Mkuu nna post zaidi ya 3500, kama inawezekana zote ni zakijinga kwako hazifundishi we ziache tu zitawasadia, na zimeisha wasaidia wengine wengi tu tofauti na wewe.
Kaka wewe hubishani na watoto kama mimi ndio , lakini wewe huoni kama ni hoja iliyo chini ya umri wako hii ?
Mimi ninachokiangalia ni wewe unaongea nini na unawaza nini, na ndivyo nitakavypkujibu,
Lakini kamwe sitoangalia wewe ni nani na unafanya nn.
point yako hii imenifanya niamini kweli kuna mikubwa jinga.
Account yangu ni hii "Elvis PlayGod" kaangalie vizuri details unazozitaka, link hii Elvis Playgod
Nilidhani wajinga tu ndio wenye hii ideology yakuidharau facebook, kumbe hadi wakubwa,
JamiiForums wana page facebook,
Raisi wako anayo page facebook
na wengine kibao
Sasa sidhani kama una mawazo chanya yakufikiri kwamba hao wote wametarget facebook kwasabu kuna watoto.
Sio wote wanaitumia facebook kuonyesha sura zao kama wanavyofanya watoto wako/ ndugu zako.
Jaribu kutumia akili ndogo uliyopewa kuwaza mambo yanayoendana na umri wako.
ungetoka mapovu.
Lugha yakinadada hii mkuu.
huyu hacker anataka kuscan hicho kitabu, aweke humu,.. Hajui ata mambo ya copyrights.
Please go to concept.: ;;Hata mie nataka kuwa jambaka ila sijui procedures
@ThefreedomWakuu nimekaa hapa natafakari kwa kina ni namna gani mtu anaweza kuwa huckers, anasomea vitu gani hasa, ili awe na uwezo na utalamu wa kudukua account na document mbalimbali bila wao kujua
Mfano huyu hucker aliyejiajir kwenye afya na kujipangia mshahara bila serikali kujua, imekuja gundua badae sanaa
Nataman kuwa kama hamza bendilladj a. K. a, smailing hucker, jamaa nakubali harakat zake, kutoka algeria japo alikamatwa na kutishiwa kunyongwa, alikuwa ameshadukua account mbalimbali na kuchukua fedha za kutosha, maisha yaende, na vyuma vililegea
Jaman napata vip hio elimu ya kuwa huckers, msaada wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app