Rapha
Miluzi mingi humpoteza mbwa, just saying.
Kuna siku Mr Vivek Ramachandran alinikumbusha usemi huu "usijifunze kutumia penseli, jifunze kuchora" .
Unapotaka kuwa hacker jifunze kwanza jinsi yakutengeneza hivyo vitu vinavyohackiwa, sio tu eti ucheki basic kwenye youtube sijui na wapi huko, ni kazi sana kujifunza kupitia videos kwa wewe usiejua chochote kuhusu field hii.
Njia tatu zakuanza ili uje kuwa hacker ni hizi.
1- Soma Programming languages.
2- Soma Programming languages.
3- Soma programming languages.
Na utachagua kulingana na mahitaji yako wewe yawe ni nini !
kama Website hacking au ni kitu gani kingine unachotaka.
Hacking ni maisha yako ya kila siku, kwamba wewe life style yako iwe ni hacking, basi inahitaji sana moyo, na muda mwingi, hivyo basi kama wewe ni baba wa familia na una majukumu mengi basi achana nayo tu, ila walee wanao ili wajekufanya ki2 ulichoshindwa.
Maana kama umeoa na mkeo hana interest na hizi field itakuwa tu kero,
ila kama you still youth and you have baby mama anaejali unachofanya, anaeza kwambia kama hivi.
"Snipa saa 8 hii, amka baby uandike code".
Na kuwa hacker itakuchuwa muda mwingi kulingana na jitihada zako pamoja na uwezo wa akili.
Kama upo dar na unataka kujifunza programming i bet for you to cantact Mr
Stefano Mtangoo nazani bado wanaendelea if am not wrong.
snipa