Super Brain
Member
- Apr 17, 2016
- 45
- 38
Habari gani jukwaani?Mimi ni mwandishi wa vitabu vya motivation and inspiration pamoja na riwaya.Kweli nimefanikiwa kuandika vitabu kadhaa.
Nimefanikiwa kutoa kitabu kimoja cha riwaya ili nilisome vizuri solo.Lakini nilichokiona ni kwamba napata tabu katika kupata solo japo kuwa napata Wateja lakini soko halijakaa kiuhakika sana,watu hunisifia tu ni mtunzi mzuri niendelee lakini nakuwa kama nakata tamaa kuendelea kuandika kwani sijapata ksmpuni ambayo naweza kuwauzia.
Lengo langu kubwa ni kuvitafsiri ili viweze kuuzwa nje ya nchi nitafanyaje?Msaada tafadharini
Hivi vitabu navichukia ptuuu! Retire young, sijui key to richness, be rich in two days, money school etcHivyo vitabu vya motivation ni vile kama vile vya rich-dad-poor dady na vingine vya Robert ?, nadhani ndani ya hivyo vitabu kuna maelezo ya jinsi ya kuwa tajiri kwa minajiri jinsi jinsi ya kufanya shughuli/ baishara zako kisasa na kifaida,
Kam hayo maelezo yangu hapo juu ni kweli, basi wewe sio mtu wa kuuliza wapi utauza vitabu vyako, wewe ndio unhetoa mada humu ya kuelezea jinsi ya kuuza bitabu vyako
Cc: Ngamba
sikubalini na wewe na nikati ya watu wasio jua kitu kuhusu nguvu ya vitabu endelea kusoma hayo magazeti yako uone utakavyokuwa baadayeHivi vitabu navichukia ptuuu! Retire young, sijui key to richness, be rich in two days, money school etc
I really hate those books, i better read muckraked tabloid or newspapers..lots of things are not practical. Kuna jamaa ana bonge la library za hizo mambo anazisoma balaa but its waste of time. But thats me, you may read at your own will, I don't want to be a profligate reader
Unampa ushauri wa Biashara mtoa ushauri wa Biashara? Yeye kaandika vitabu vya jinsi ya kufanya biashara alafu anauliza aviuzaje?Ungeanza kuuza part ya story zako kwenye magazeti! Ujira ni mdogo ila inakupa nafasi ya kujulikana kwa haraka zaidi na network ikikua utajua chakufanya then
Kinyozi hajinyoi mkuuUnampa ushauri wa Biashara mtoa ushauri wa Biashara? Yeye kaandika vitabu vya jinsi ya kufanya biashara alafu anauliza aviuzaje?
Unajua Utaratibu wa kuuza story kwenye magazetiUngeanza kuuza part ya story zako kwenye magazeti! Ujira ni mdogo ila inakupa nafasi ya kujulikana kwa haraka zaidi na network ikikua utajua chakufanya then
Hivi vitabu navichukia ptuuu! Retire young, sijui key to richness, be rich in two days, money school etc
I really hate those books, i better read muckraked tabloid or newspapers..lots of things are not practical. Kuna jamaa ana bonge la library za hizo mambo anazisoma balaa but its waste of time. But thats me, you may read at your own will, I don't want to be a profligate reader
Habari gani jukwaani?
Mimi ni mwandishi wa vitabu vya motivation and inspiration pamoja na riwaya. Kweli nimefanikiwa kuandika vitabu kadhaa.
Nimefanikiwa kutoa kitabu kimoja cha riwaya ili nilisome vizuri soko. Lakini nilichokiona ni kwamba napata tabu katika kupata soko japo kuwa napata Wateja lakini soko halijakaa kiuhakika sana, watu hunisifia tu ni mtunzi mzuri niendelee lakini nakuwa kama nakata tamaa kuendelea kuandika kwani sijapata kampuni ambayo naweza kuwauzia.
Lengo langu kubwa ni kuvitafsiri ili viweze kuuzwa nje ya nchi nitafanyaje?
Msaada tafadharini.
Magazeti pia yana umuhimu. Sema kuna magazeti ya udaku hayana substance lkn huwazi kudespise magazeti hata kidogosikubalini na wewe na nikati ya watu wasio jua kitu kuhusu nguvu ya vitabu endelea kusoma hayo magazeti yako uone utakavyokuwa baadaye