Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,132 Sep 18, 2016 #21 Lina za cdma zipo zantel na ttcl tu. . nenda huko kwa msaada zaidi
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,132 Sep 18, 2016 #22 Shark's Style said: Lte ni gsm Click to expand... Inategemea na bands za hiyo lte, kwa mfano kuna bands ambazo zinashika china tu ila hapa bongo chenga. Niliona kwa simu flan hivi ya lenovo
Shark's Style said: Lte ni gsm Click to expand... Inategemea na bands za hiyo lte, kwa mfano kuna bands ambazo zinashika china tu ila hapa bongo chenga. Niliona kwa simu flan hivi ya lenovo
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Sep 18, 2016 #23 lameck laedo said: Hv simu za hivi unaziunlock vp.!? Click to expand... kila kifaa kina namna yake ya ku unlock havifanani
lameck laedo said: Hv simu za hivi unaziunlock vp.!? Click to expand... kila kifaa kina namna yake ya ku unlock havifanani
Srebrina JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 968 Reaction score 439 Sep 18, 2016 #24 Chief-Mkwawa said: kila kifaa kina namna yake ya ku unlock havifanani Click to expand... Kwaiyo hii haikubali kwa apps? Sent from my N9100 using JamiiForums mobile app
Chief-Mkwawa said: kila kifaa kina namna yake ya ku unlock havifanani Click to expand... Kwaiyo hii haikubali kwa apps? Sent from my N9100 using JamiiForums mobile app
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Sep 18, 2016 #25 Srebrina said: Kwaiyo hii haikubali kwa apps? Sent from my N9100 using JamiiForums mobile app Click to expand... nadra sana ku unlock simu kwa apps
Srebrina said: Kwaiyo hii haikubali kwa apps? Sent from my N9100 using JamiiForums mobile app Click to expand... nadra sana ku unlock simu kwa apps
Srebrina JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 968 Reaction score 439 Sep 18, 2016 #26 Chief-Mkwawa said: nadra sana ku unlock simu kwa apps Click to expand... Du kwaiyo mpaka tools
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Sep 18, 2016 #27 Srebrina said: Wakubwa Nina simu mpya inaitwa oppo kutoka china INA 4g,3g lakini hazisapoti kila laini inasoma EDGE naitaji msaada wadau kwa hili Click to expand... Yawezekana pia eneo ulipo halina hizo hudama kwa hiyo mitandao unayotumia. Inaweza ikawa na 3G Au 4G ukawa eneo ambalo hakuna hizo huduma hapo lazima isome EDGE tu.
Srebrina said: Wakubwa Nina simu mpya inaitwa oppo kutoka china INA 4g,3g lakini hazisapoti kila laini inasoma EDGE naitaji msaada wadau kwa hili Click to expand... Yawezekana pia eneo ulipo halina hizo hudama kwa hiyo mitandao unayotumia. Inaweza ikawa na 3G Au 4G ukawa eneo ambalo hakuna hizo huduma hapo lazima isome EDGE tu.