apprentice1997
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 107
- 99
Kwa hiyo sitaweza kuitumia kwenye line yangu ya Tigo au vodaChief-Mkwakuitumit: 17649972 said:nimecheki bands zake za lte hazikubali hapa kwetu, hapo kajaribu zantel kama bado wanauza line za cdma
yap hutawezaKwa hiyo sitaweza kuitumia kwenye line yangu ya Tigo au voda
Habarini wanajukwaa, Nina simu. aina ya saSamsung galaxy core prime g360p, hii simu ina support network za LTE na CDMA tu na sidhani kama ina GSM, je nitawezaje kuitumia hii simu kwa mitandao yetu ya hapa bongo maana hiki kimeo nilichonacho sasa kinanisumbua. Naomba kujuzwa kama kuna trick yoyote ya kuactivate gsm network kwenye hii simu. Asante
ata ttcl bado wanazo hila soon watafunga huduma hiyonimecheki bands zake za lte hazikubali hapa kwetu, hapo kajaribu zantel kama bado wanauza line za cdma
Mkuu nipo iringa huku hakuna 4g,oeIringa post: 17653879 said:Kwa nijuavyo LTE inaconnection na 4G, umejaribu line za 4G za kampuni yeyote?
Mimi nina iPad ambayo ni CDMA na LTE...line yeyote inafanya kazi.Now natumia halotel
Mkuu nimejaribu tigo 4g imegomaKwa nijuavyo LTE inaconnection na 4G, umejaribu line za 4G za kampuni yeyote?
Mimi nina iPad ambayo ni CDMA na LTE...line yeyote inafanya kazi.Now natumia halotel
ttcl nao si wana teknolojia ya cdma na wametoa chip mdau hawezi tumia hiyo?yap hutaweza
Mkuu ninatumia tigo ttcl haina msaadattcl nao si wana teknolojia ya cdma na wametoa chip mdau hawezi tumia hiyo?
band xa 3g za china na hapa ni tofauti ila kwa 4g zinaingiliana na smart, kwa uhakika zaidi eka full name ya hio simu tuhakiki bands zakeWakubwa Nina simu mpya inaitwa oppo kutoka china INA 4g,3g lakini hazisapoti kila laini inasoma EDGE naitaji msaada wadau kwa hili
line mpya za Ttcl sio cdma ni gsm ila zamani ndio cdma sijui kama line bado zipottcl nao si wana teknolojia ya cdma na wametoa chip mdau hawezi tumia hiyo?
Oppo R7s review: Filling the gaps - GSMArena.com iko apo. Ni OPPO R7sband xa 3g za china na hapa ni tofauti ila kwa 4g zinaingiliana na smart, kwa uhakika zaidi eka full name ya hio simu tuhakiki bands zake
mbona band zake ni za kawaida tu? ina 3g ya 2100 ambayo mitandao yote kasoro smart wanaitumia. pengine hujai unlock hio simuOppo R7s review: Filling the gaps - GSMArena.com iko apo. Ni OPPO R7s
Hv simu za hivi unaziunlock vp.!?mbona band zake ni za kawaida tu? ina 3g ya 2100 ambayo mitandao yote kasoro smart wanaitumia. pengine hujai unlock hio simu