mzanzibara-
Senior Member
- Feb 3, 2014
- 179
- 59
Naomba msaada, programs zipi za kutengeneza websites bila kutumia html, naomba msaada
Naomba msaada, programs zipi za kutengeneza websites bila kutumia html, naomba msaada
Kutengeneza website bila kutumia html? Unamaanisha nini mkuu
Naomba msaada, programs zipi za kutengeneza websites bila kutumia html, naomba msaada
Kutengeneza website bila kutumia html? Unamaanishanini mkuu
Mimi mwenyewe kichwa kimeniuma hapo anaposema kutengeneza website bila html au alikuwa anamaanisha nini haswa hapa!
Anamaanisha kwamba anataka atengeneza website bila yeye kuingiza au kutumia code za html.
Oooops, kumbe anamaanisha drag and drop, watu siku hizi hawataki kuumiza vichwa na ndo maana watu wanashindwa kuwa creative na innovative, hata ukiangalia hawa wanaotengeneza hizi programe za drag and drop wameumiza vichwa lakini wengine hawaulizi ni kwa nini
Upo sahihi mkuu,ila time is critical resource so no need of hustling while it is there already.
Mleta uzi kuna open source Content management systems nyingi tu ambazo unaweza kuzitumia bila kuandika mistari(codes),japo kama alivyosema mkuu hapo juu ni vema ujue php au asp.net ili uweze kudevelop specific features ambazo hizi content management systems zinaweza zisiwe nazo.Lakini pia security wise unakuwa less vulnerable cause it's only u who knows the directory arrangements and settings of ur website unlike CMS sites which everyone knows since they are open source
Most popular Content Managament systems ni
Joomla: this is my favorite,I find it easy to understand
Wordpress: this is the second easy according to my opinion
Drupal: I found it difficult to understand
Hizo zina ready made templates designs,features known as widgets,modules and components.U just install them.
Ndo maana nikasema watu hawataki kuumiza kichwa wanataka kutafuniwa tu, kama huyu bwana anakwepa html ambayo ni simple, je atawezaje kutengeneza dynamic website kwa kutumia asp au php na siku hizi ili website yako ipendeze au imeet user requirement inahitajika iwe ni dynamic
Naomba msaada, programs zipi za kutengeneza websites bila kutumia html, naomba msaada
Naomba msaada, programs zipi za kutengeneza websites bila kutumia html, naomba msaada
Oooops, kumbe anamaanisha drag and drop, watu siku hizi hawataki kuumiza vichwa na ndo maana watu wanashindwa kuwa creative na innovative, hata ukiangalia hawa wanaotengeneza hizi programe za drag and drop wameumiza vichwa lakini wengine hawaulizi ni kwa nini
Kuumizwa kwao vichwa hakuwezi kukuzuia wewe kuitumia so long as ni tool ipo kukusaidia lazima uitumie
Mfano,siwezi sema eti ntafanya Hesabu ya 2/96500 wakati calculator ipo na naruhusiwa kuitumia
siwezi kuanza kusema eti walotengeneza calculator waliumiza vichwa...Infact siwezi ji compare na hao watu hata kidogo maana mm niko ka mm na wao wako kama wao tena group la watu
Kama ni Dynamic website lazima upige code(html, php,css au ajax)
Ila kama ni static inawezekana, tafuta software inaitwa Xara Web designer, ni drag and drop tu hamna code hata moja ya html utakayoingiza.
Mkuu download notepad++ ni open source na ni program nzuri kwa hiyo shughuli yako
naomba tofauti ya dynamic na static website