kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Najua kunyoa bila kufundishwa na mtu Yan kutumia mashine, nafanya biashara za kupiga picha wateja wanapenda kazi yangu, nafuga kuku pamoja na ngurue, wanaenda vizuri, napenda kujumua vitu mjini nakuja uza vijijin kutatua8 shiida za raia biashara Safi, pia nikiwa darasani watoto wanakubali Sana kazi yangu mwaka huu nimetunukiwa bahasha nono kwa kutoa A katika somo langu..nipo private
Najua humu wapo Wana saikolojia sahihi napenda nifanye Moja wapo kwa viwango vya juu zaidi Kati ya hizi kipi hasa kipaji changu? Au nikomae na vyote salon nilisitisha kidogo kwa Sasa
Najua humu wapo Wana saikolojia sahihi napenda nifanye Moja wapo kwa viwango vya juu zaidi Kati ya hizi kipi hasa kipaji changu? Au nikomae na vyote salon nilisitisha kidogo kwa Sasa