Nitawezaje kupokea simu line ikiwa ndani ya modem kwenye PC?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
Kama heading ilivyo, Sijawah kuweza kupokea simu kwenye PC zaidi ya kuona tu msg

Na mpigaj kuskia inaita lkn mm siioni

Nini cha kufanya?
 
Take care sio moderm zote zinaaccept call!! ZTE model CE1588 zina uwezo wa kupiga za kupokea sim bila ugomvi na kumpyuta yako!!!
 
TAFUTA headphone yenye vichwa viwili. Kichomeke kila kichwa sehemu yake na enjoy.
 
Mm natumia moderm ya airtel but mwanzo nilianza kutumia zain na nikai install kwa pc nilipokuja kuweka ya airtel nayo ika ji instal but nikitumia airtel kufungulia mordem sim zikipigwa sioni lakini nikitumia zain kukonect simu ikipigwa inaingia na napokea ata bila earphone! sasa sielew inakuwaje na ingali zote ni mtandao mmoja tofaut ni kwamba zain ni ya kitambo kidogo
 
Uyasemayo ni sawa kabisa.
Tofauti nyingine ni katika uandishi wa hizo software zake.
 
Mm natumia moderm ya airtel but mwanzo nilianza kutumia zain na nikai install kwa pc nilipokuja kuweka ya airtel nayo ika ji instal but nikitumia airtel kufungulia mordem sim zikipigwa sioni lakini nikitumia zain kukonect simu ikipigwa inaingia na napokea ata bila earphone! sasa sielew inakuwaje na ingali zote ni mtandao mmoja tofaut ni kwamba zain ni ya kitambo kidogo

kaka, moderm zote za zain zinasuport calling , ili mrdi iwe na nembo ya zain tu.

lakin kwa sasa zilishapotea tangu achukue airtel, ila ukiwa na ya zain bomba sana iyo moderm...
 
Back
Top Bottom