AziGogolato
Member
- Jul 27, 2013
- 8
- 0
Mh... sidhan Kama Mtu mwingine Tofaut Na carries [service Providers] Wanaruhusiwa Kua Na Access Na Hio Kitu... maana Ni Suala La Privacy So huwez Kufanya Advertising Kwenye Simu Ya Mtu Kama Yy hajapenda... unless Ww Uweke Njia Ambayo Mtu Anaweza Ku subscribe Kama Anakua Ameridhia kwa Hiyari yake
chadema kwenye mikutano yao unaweza kupata.
Anza kuorodhesha tuu hivi 0712123456 0752123456 0765123456 nk....... afu wapigie ujue kabisa ni binadamu au freemason????
Duh! Hiyo unaweza kwa njia ya ufisadi tu. Labda ujaribu kumtafuta shushushu Edward Snowden, atakusaidia namna.
teheteheeeeNitajitahidi. Una ratiba za mikutano yao?
Nimekupata vizuri, yaani hakuna namna nyingine? hakuna directory somewhere hivi?
Anza kuorodhesha tuu hivi 0712123456 0752123456 0765123456 nk....... afu wapigie ujue kabisa ni binadamu au freemason????
Hahahahahaha!nimecheeeeeka!Muulize john mnyika
Habari JF.
Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo.
Nawasilisha.
nenda TCRA
"Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa," Mateo Qaresi (July 2013).
Kwan freemasons sio binadam??
Hakuna urasimu pale? Na huyo Mateo Qaresi anahusika na nini?