Nitawezaje kuondoa "insufficient space" Error kwenye Huawei Y330

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Simu yangu ina tatizo kwenye ku download apps kutoka play store nikitaka ku download inaniambia

"Erro in downloading there is insufficient space in ur device"

Tatizo nn jamani wakati memory yangu ina space ya kutosha naombeni msaada wenu nifanyaje na kuna app nataka kuzi download
 
Maana yake application memory iko full sio mpaka space ya apps ibaki 00mb ndo ujue iko full lazima kuna nafasi ibaki kwa ajili na kuread apps ila unacoweza kufanya ni kumove apps kwenye sd-card na uset sd-card kama install location yako kwa maana ukidownload kitu kiwe direct kinaingia kwenye sd-card
 
Kama kumove apps ingia kwenye settings - application- manage application- kisha chagua baadhi ya application move kwenye memory card mfano google service,whatsapp,jf and so on ila kuweka sd card kama install location download hii https://www.dropbox.com/s/pzhmrprqmg811as/adb-setup-1.3.exe. Kisha install ikimaliza utakuta shortcut kwenye desktop kisha weka USB debugging enabled ili kuweka on ingia settings-applications-development-usb debugging weka tick kisha open hyo adb then copy and paste hii command"ukiandika adb device press enter utaona cm yako imetokea kisha weka hii command" adb shell pm set-install-location 2 " press enter tayar ukitakakujua kama settings zime kubali weka hii command" adb shell pm get-install-location kisha press enter utaona install location ni namba 2 yaan namba 1 ni internal na 2 ni external copy command kama ilivyo
 
kama huda sd card we unstall baadhi ya application ambazo huz2mii,,,au root kabxa cm yako ili uwez kuondoa had system applications ambazo huzihitaji,
 
Basi hapo kuna ulazima wa mimi kununua sd card maana mm natumia tu hii internal iliopo kaka au ndo shida ilipo
 
kama huda sd card we unstall baadhi ya application ambazo huz2mii,,,au root kabxa cm yako ili uwez kuondoa had system applications ambazo huzihitaji,

Lakini cm angu kuna kipnd niliweza ku download app nyingi tuu sema nilizifuta ila nw ni nazo chache sana lakini inambia hivyoo
 
Back
Top Bottom