Nitawezaje kumpa mimba mke wangu kwa hali hii?

Nitawezaje kumpa mimba mke wangu kwa hali hii?

Jaribu kwenda Muhimbili uonane na urology nasikia wanafanya assist reproduction.
 
Mkemia mkuu wa serikali alisema katika ndoa kumi zinazoenda kucheki DNA wanakuta ndoa sita sio mtoto aliyepatikana kwenye ndoa.
 
Habari wana JF

Mdau mwezenu naomba msaada kwa hili ...
Uwezo wa kutia mimba unao,ila itakugalimu Sana,doctor alikwambia ni asilimia ngapi ya sperm ambazo hazina mkia? Maana mkia husaidia mbegu kuogelea kuingia kwa mwanamke.

Kuhusu mbegu kuwa chache kula vyakula na sawa hutumiwa kuongeza uzalishaji wa mbegu,ila naona bado haujatatua tatizo coz haujasema nini kilidababisha mbegu ziwe chanche na zisizo na mikia.

Umepima maganjwa ya ngono?

Tezi dume?
 
Habari wana JF

Mdau mwezenu naomba msaada kwa hili.

Mimi ni kijana wa miaka 29. Nimeowa na hadi sasa nimeshapitia kwenye ndoa mbili, yani saiv nipo na mke wa pili..
Mkuu pole sana kwa maelezo yako una matatizo ya Sperm Count hazizalishi kwa wingi shahawa zako na hazitoi mkia kwa maradhi uliyo kuw anayo huwezi kupona kwa dawa za hospitali.

Kwa Dawa za Asili unaweza kupona kuna mtu yupo Dubai nilisha wahi kumtibia hayo matatizo miak 7 iliyo pita alikuwa anayo hayo hayo matatizo yako ameshapona na kuzaa watoto.Ukifanya mchezo hato huyo Mkewe uliyekuwa nae atadai talaka itakuwa wewe kazi yao kuacha wake pole sana.
 
Mkuu pole sana kwa maelezo yako una matatizo ya Sperm Count hazizalishi kwa wingi shahawa zako na hazitoi mkia kwa maradhi uliyo kuw anayo huwezi kupona kwa dawa za hospitali. Kwa Dawa za Asili unaweza kupona kuna mtu yupo Dubai nilisha wahi kumtibia hayo matatizo miak 7 iliyo pita alikuwa anayo hayo hayo matatizo yako ameshapona na kuzaa watoto.Ukifanya mchezo hato huyo Mkewe uliyekuwa nae atadai talaka itakuwa wewe kazi yao kuacha wake pole sana.
Naam. Naomba msaanda wako kwa hili. Nipo tayari kukusikiliza
 
mkuu hili tatizo si lakuogopesha sana uwezekano wa kupata mtoto ni mkubwa tuu chamsingi uliza hapo ulipofanyiwa vipimo kuona suluhisho la tatizo lako ni nini hiyo ni njia ya kwanza
Njia ya pili watu wa tiba mbadala baadhi huwa wana dawa za matatizo ka hayo na unakuwa vizuri kabisa ila zile mbinu nyingine ka zakwenda kufanya ka watu flani ni gharama zaidi na si kilamtu anazimudu,

Ka ukikwama kwa utakayoelekezwa na wakuu hapo juu tujaribu kuwasiliana tuone ka tunaweza kusaidiana

Mungu akutie nguvu uyashinde hayo
 
Back
Top Bottom