MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,361
Samahani jamani kuna mtu alinisaidia kukata ticket ya Kilimanjaro to Dar sasa kwa bahati mbaya next weekend sitaweza kuondoka kwenda huko, sasa ninaweza kurudisha ticket na cost zake zikojeee? au naweza nikamuuzia mtu mwingine tu kama inawezekana?
Please naomba wadau mnijuze.
Please naomba wadau mnijuze.