NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,974
- 1,210
Nataka kununua s4 ila nahofu kuuziwa clone, ni jinsi gani naweza kutofautisha clone na gunuine
Nataka kununua s4 ila nahofu kuuziwa clone, ni jinsi gani naweza kutofautisha clone na gunuine
Kwani bei ya clone na genuine ni sawa? Nilidhani hata price tag inaweza kupiga kengele ya nashaka!