Nitawezaje ku install whatsapp kwenye Nokia xl

Nitawezaje ku install whatsapp kwenye Nokia xl

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
974
Wadau nimenunua Nokia Xl, lakini kila nikijaribu kuinstall whatsapp haikubali, mwenye uelewa anisaidie au ndo haikubali kabisa kwa simu hii aina hii ( nokia xl, dual sim), natanguliza shukrani.
 
Ni nzuri sana kwa nokia x,xl... ,whatsapp ya kawaida unaipata kwenye store but itakwambia haisupport unapofungua so restart zn check na rafiki mwenye whatsapp mtumiae ujembe au akutumie utaona kwenye fastline utaweza fungua ujumbe but kwa whatsapp + haina tatizo kabisa
 
Shukrani ndugu yangu, ngoja nijaribu then nitatoa mrejesho
 
Ndugu yangu bado inaniambia your device is not supported, kuhusu kurestart cmu hii haina option hiyo kabda kuizima kabisa ( shut down), bado nahitaji msaada wako ndugu yangu
 
Nje ya mada kidogo... bora ununue Tecno kuliko hizo Nokia X series.
 
Me ndo nayo tumia. Download application mja inaitwa mabongore then idownload watsapp sasa
 
Ni kweli whatsapp+ inakubali ila hivi karibuni imeanza kidai update. Na whatsapp wanapotoa update hawana subira usipoupdate mnaachana. Sasa latest whatsapp+ version ni 6.06 na ndiyo inayodai update na hakuna toleo lingine hapo ndio penye ngoma. Wengine wanasema ukirudisha muda nyuma kabla ya tarehe 04/08/2014 kila unapotaka kuitumia maisha yanaendelea lakini ukiupdate time inadai uupdate whatsapp na haifunguki.
 
Back
Top Bottom