Agape Kama G
Member
- Feb 19, 2013
- 59
- 9
Nifanya nini ili niwe naweza "Kucopy into" au "Kuedit" content za "/var/www" Folder Kwenye Ubuntu 14.04 ?
You need to change user permission to that location and/or own the location using chmod and chown respectively.
Permission:
sudo chmod -R g+rw /var/www
Owning:
sudo chown -R <user>:<group> /var/www (without "<" na ">"), approach nyingine to hii ni kuangalia which group has read/write permission to /var/www (which is definitely root) and add your user to that group.
Kuna njia nyingine to achieve the same results na unaweza kusoma zaidi kuhusu chmod na chown kwa kutumia the man command on your terminal.
man chmod na man chown
Other brute way to do it ni kuandika or copy as root every time you want to deal with that location, I do not recommend this way, ni nzuri kama unacopy or writing just once or a few times but usually that location utaandika na kucopy sana and the first two ways are better
Nadhani Pia parmission issues zinaweza ku-exist kama utataka kuchange contents kwenye WWW bila kuzingatia Which is the default Apache web root.
Kama nakumbuka vizuri mara ya mwisho nadili na Linux server Web root ya 14.04 LTS na 12.04 LTS zilikuwa tofauti. kwenye 14 ilikuwa var/www/html na kwenye 12 ilikuwa ni var/www .
Xo nahisi kuwa unakosea kutumia www kama webroot kwenye 14. au kama unataka kuaccess kwenye www badala ya HTML basi you have to fix parmission kwa njia ulizoshauriwa hapo juu.