NITAWATOFAUTISHA VIPI !??

Nao Wapo Vizuri Nilisahau tuu kuwataja, Kaka Yangu AmeOA Huko, Aiseee yule Dada ni Mvumilivu sana, Kuna kipindi kaka alitikisika kiuchumi Mpaka Amekuja kujipata Tena yule Dada Hakubadirika Aiseee.
Wamasai hususani wanaume wako kila mkoa lakini mara nyingi wake zao hubaki nyumbani na wala huweziskia swala usaliti hata kama amesoma masai ni smart sana japo elimu zimekujakuwatoa kwenye tamaduni za asili
 
Wamasai hususani wanaume wako kila mkoa lakini mara nyingi wake zao hubaki nyumbani na wala huweziskia swala usaliti hata kama amesoma masai ni smart sana japo elimu zimekujakuwatoa kwenye tamaduni za asili
Hahaha wewe ni Morani umeenda Jando? Unawaajua vizuri Wamaasai?
 
Sio kweli kabila sio Os ya ndoa
 
Oya dada zako hatuwaachii mimi nishawala kadhaa ila kwanini siku hizi wanakua single mother nini shida?
Mabroo saizi wakija town hawageuki mkuu sasa life inakuwa tight inabidi masister wakasake life,in short life limechange sio kama zama zile kuna ardhi yenye malisho ,mifugo nayo sio mingi kivile so obstacles ni mingi
 
Wengi naona mnamshambulia kiwa haoi kabila hivi mpo serious?? Hivi kwa akili ya kibinafamu na ya kumheshimu Mungu na moyo wa amani unaweza kuoa kabila la wakina Tlaatlaah Yani namaanisha WAMBULU/WAIRAQW??

Hebu muacheni aisee Kuna makabila yanabeba dhamira kuu ya tabia Yani oa makabila yote ila sio wa huko manyara wazee Nina full experience ya wanawake wa huko Hadi nikazaa twins na pisi ya huko na isingekuwa roho ngumu ya kisukuma na chale chale za babu zangu yule fala angeniendesha kinomaπŸ₯ΉπŸ₯Ή
 
Vyovyote vile, pitia uzi huu ambao binafsi nimeupitisha βœ…οΈ kuwa umeandikwa na akili kubwaz


Dennis Robert Shughuru
 
Vyovyote vile, pitia uzi huu ambao binafsi nimeupitisha βœ…οΈ kuwa umeandikwa na akili kubwaz
Sema nini acha nisitie neno tu ila ujue ya kua kwa mtaani unaacha 200 (coin) mezani unarudi unakuta imepikwa pilau kuku na kachambari juice ya matunda na unakaribishwa na mkeo unakula unashiba unaenda kulala huulizi uliacha 200 mezani hii pilau kuku imetoka wapi, jiongezee mwenyewe utaelewa nimemaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…