NITAWATOFAUTISHA VIPI !??

Wasukuma utawajua kitandani, wana kazi kazi kama mutu ya dk tano, ujipangee .Hao wengine sina uzoefu nao, ila wasukumu mmmh! hasa ukute msukuma ambae hajachachuka
 
Kila jamii,ina watu wazuri na ina watu wabaya,
Kila dini utakuta kuna watu wazuri na watu wabaya,

Usioe kwa kuangalia kabila bali oa kwa kumuangalia Mwanamke unaye taka kumuoa pamoja na background yake,hasa familia yake,waangalie ni watu wa aina gani na wana tabia za aina gani,usioe kwa kumchunguza Mwanamke peke yake tu,fuatilia roots ya familia yake,

Good luck and All the best.
 
Sasaa Naomba Kuwauliza Nitawatofautisha Vipi baadhi ya Wanawake wa Makabila Haya,
Oa mwanamke anaekupenda achana na masuala ya ukabila utaishia kuoa malaya tuendelee kukutombea wewe unabakia kuoa kabila sio mke, kenge hausikii mpaka masikio yatoke damu
 
Kwasababu Nimezaliwa na kukulia Kiwalani-Dar es Salaam
Zunguka hapo Kiwalani kwa Mzee Husseein bisha hodi mchumbie binti wake wa Kishambaa anaekupenda achana na mentality ya kuoa kabila oa mwanamke unaependana nae kabila weka pembeni
 
Acha kuhangaika dogo, we Oa tu
 
1. Wakurya na Wajita
2. Wabena, wahehe na Wakinga
3. Waha na Wamanyema
Wote hawa nimekula mzigo, sema nini wewe endelea hivyo hivyo mimi sina cha kukushauri cha ziada km kweli unataka kuoa ningeekushauri nenda Mafinga chukua unaependana nae oana nae usioe kabila lake oana na yeye
 
Dada zetu wamasai mbona huwa mnatuachia sisi wamasai tuu
 
Dada zetu wamasai mbona huwa mnatuachia sisi wamasai tuu
Nao Wapo Vizuri Nilisahau tuu kuwataja, Kaka Yangu AmeOA Huko, Aiseee yule Dada ni Mvumilivu sana, Kuna kipindi kaka alitikisika kiuchumi Mpaka Amekuja kujipata Tena yule Dada Hakubadirika Aiseee.
 
Kijana asikutoe mtu kwenye reli kabila linamstakabali mkubwa sana kwenye tabia ya mtu. (Ndio operating system ya mtu).

Na hiyo list ni yenyewe imenyooka.... Sasa kwenye hiohio sample size humo hawakosi wazuri na wabaya, sasa ni jitihada nyingine inahitajika kupata mali safi.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Watu wamepandisha visukari unafikiri wameambiwa wanaolewa wao.

Mwanetu, hebu tuambie kwann umechagua makabila hayo na sio mengine?.
Sifa zipi zimekufanya usema hayo makabila.
1. Ni Wavumilivu 2. Hawana Tabia ya Kumpanda juu Mwanaume 3. Ni Wachapa kazi 4. Ni walezi wazuri wa Familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ