Baada ya Kusoma Vitabu Vingi,
Wakuu Habari za Uzima,
Kama Mwanaume Kamili kuOA Hakuepukiki. Nami Baada ya Kusoma Vitabu Vingi, Threads Nyingii humu JF, Na Kufanya Research Binafsi Nimegundua Wanawake wa Makabila Haya Ni BEST Option Kuingia Nao kwenye NDOA.
1. Wakurya 2. Wakinga 3. Wabena 4. Wahehe 5. Waha 6. Wasukuma.
Sasaa Naomba Kuwauliza Nitawatofautisha Vipi baadhi ya Wanawake wa Makabila Haya, Kwasababu Nimezaliwa na kukulia Kiwalani-Dar es Salaam Mikoani Nilikuwa Naenda kwa Ajili ya Masomo Na Matukio ya Ndugu, Jamaa na Marafiki.
1. Wakurya na Wajita
2. Wabena, wahehe na Wakinga
3. Waha na Wamanyema
Wasukuma Nawafahamu Vizuri tuu.
Karibuni Kaka na Dada Zangu kwa Mawazo Yenu.
Peleka moto peleka moto😂😂😂Usiishi kwa kukaririshwa kabila sio ndoa, tuambie umri wako kwanza
Huyu alichokimaanisha nimemuelewa kwamba hayo makabila hayana malaya nani kamwambia? Kwa hio makabila mengine hayafai sababu yamejaa malaya tupu sio?Peleka moto peleka moto😂😂😂
Wasukuma unaowafahamu wewe ni wa wapi Ukerewe?Wasukuma Nawafahamu Vizuri tuu.
Research hii Thesis yake ipo wapi na sampling ulifanyia ukiwa wapi?Research Binafsi Nimegundua Wanawake wa Makabila Haya Ni BEST Option Kuingia Nao kwenye NDOA.
Vingi km kitabu kipi? Toa mfanoNami Baada ya Kusoma Vitabu Vingi
Wote hawa nimepitisha rungu kuna chimbo hata wewe nikikupeleka unawakuta unataka kusemaje? Fikiria mara 31. Wakurya 2. Wakinga 3. Wabena 4. Wahehe 5. Waha 6. Wasukuma.
Dogo punguza kuttombba madada poa.Kwenye machimbo yote ya utamu hao wenye hayo makabila wamo unataka kusemaje?