Hawa jamaa hapa chini wana umaarufu kwenye anga zao....natamani niwaone sura zao. Nitawapataje wajameni??
MICHEZO MICHEZO: Saint Ivuga, Crashwise, Gang Chomba, Katavi, Balantanda, Anselm, Masuke, TIQO, ndetichia (mzee wa Msimbazi na Chamazi kwa pamoja), Mzee wa Rula, Ta Muganyizi, PrN-kazi, Mphamvu, Makoye Matale na wengine wengi tu.
VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, charger, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!
MALAVIDAVI: Erotica (wewe sikuwezi!), Mtambuzi (mh!), Kongosho, Kaunga, Preta, Bigirita, Bishanga, Mzee Mwanakijiji, King'asti. Hii list ni ndefu wee acha tu!
UCHAMBUZI NA MAPOLITIKI: Mkandara (namwitaga mzee wa busara huyu), Mchambuzi (kada), Mzee Mwanakijiji, Pasco (aka nanilii!). Hawa ni just a tip of iceberg kutoka kwenye hazina ya wamwaga nyanga wa JF!
ALL ROUNDERS: Father of All
Nitawapataje uso kwa uso?
Mie ni kwa vile sikubahatika kuwemo kwenye list ya huyu jamaa incase ningekuwemo ni lazima ni lazima ningemtafuta huyu jamaa , yaani ana dalili zote za kuwa ukionana nae anagawa feza huyu!
Hawa jamaa hapa chini wana umaarufu kwenye anga zao....natamani niwaone sura zao. Nitawapataje wajameni??
MICHEZO MICHEZO: Saint Ivuga, Crashwise, Gang Chomba, Katavi, Balantanda, Anselm, Masuke, TIQO, ndetichia (mzee wa Msimbazi na Chamazi kwa pamoja), Mzee wa Rula, Ta Muganyizi, PrN-kazi, Mphamvu, Makoye Matale na wengine wengi tu.
VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, charger, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!
MALAVIDAVI: Erotica (wewe sikuwezi!), Mtambuzi (mh!), Kongosho, Kaunga, Preta, Bigirita, Bishanga, Mzee Mwanakijiji, King'asti. Hii list ni ndefu wee acha tu!
UCHAMBUZI NA MAPOLITIKI: Mkandara (namwitaga mzee wa busara huyu), Mchambuzi (kada), Mzee Mwanakijiji, Pasco (aka nanilii!). Hawa ni just a tip of iceberg kutoka kwenye hazina ya wamwaga nyanga wa JF!
ALL ROUNDERS: Father of All
Nitawapataje uso kwa uso?
E bana ee mzima weye!!, vipi mapacha wetu wanaendeleaje!?? hivi HYGEIA amestukia kuwa mie ndo "papaa ya bana" au bado amelala!!??
teh teh teh! kwa hio umechoka kudokoa unaona umshtue aliye lala?
habari ya watoto yote ipo kwa Kaunga na Elizabeth Dominic.
Nafurahi kukuona chit chat ukimaliza likizo ya uzazi kuna kamati ya kuwafunda wapenzi inakusubiri nikukabidhi rasmi
mi nataka nikuone wewe boflo. unanifurahisha sana......... (eeeehhh wakuda macho yashawatoka.)
Papito come this way...................... mwaaaaaaah! :A S-heart-2:
Mimi nilifikiri unabembeleza kibarua cha kuisaidia Simba kupata point yake moja kwa Toto Africa kwani siku za karibuni hata hiyo imekuwa ngumu kupatikana.
By the way, namtafuta Pazi jamani. Sio kwa heri, namsaka kwa shari hasa. Unajua basi letu limepigwa mawe jana asubuhi kule Kabuku mkoa wa Pwani tukiwa safarini kwenda kuchukua points zetu kwa Coastal Onion na Pazi haonekani hapa mjini