philipo.co
Member
- Oct 6, 2015
- 53
- 6
Ndugu zangu naombeni mwenye kufahamu zinapopatikana mashine za kufyatulia tofali za udongo ambazo huchomwa.
Nimeambatisha picha, ni vyema zaidi nikafahamu na bei ya mashine yenyewe.
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeambatisha picha, ni vyema zaidi nikafahamu na bei ya mashine yenyewe.
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app