<br />Mkuu! Naungana nawe na bila shaka 2taonana mtaani 2kitafuta sukari madukani. 2siingie tena humu.
<br />Wakuu tafadhali nawaomba tutoke kwenye keyboard twende mitaani tukatoe elimu ya uraia na uzalendo kwa umma ili kunusuru rasirimali ya nchi hii na hatimaye kujinusuru toka kwenye huu UKOLONI MAMBOLEO.Huko jukwaa la mahusiano na mapenzi tutaenda baada kupata uhakika wa kula milo 3 kwa siku.Nani kati yenu asiyejua kuwa pasipo uhakika shibe hata 'nazi asilia' hazikunwi majumbani kwetu?
<br />mhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!! mi sijakusoma kabisa mkuu...........