Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
- #101
Mnataka kunipakazia eeAya bhna sema mdau kasema kweli. Maybe PM yko ina matatzo manake ata me nliku, pm kmyaa

mm pm yang nyeupeee Sina bahat jf
Mnataka kunipakazia eeAya bhna sema mdau kasema kweli. Maybe PM yko ina matatzo manake ata me nliku, pm kmyaa

mm pm yang nyeupeee Sina bahat jf
Sky aliaga jukwaa gani? Mweeh namie itabidi niage sasaHee jana sky kaaga leo wewe jamani. Mbona hivyo!!??
Sawa mkuuNipo mkuu sema tu hunioni
SimkumbukiSky eclat,mwngn ni nani
Let's enjoy our last chat with u ol,jumamosi sitoonekana tena jf,Arabian queen itakua makumbushooUsijitoe tafadhali bahati yako ipo, sema ni suala la muda tu na subira yako ndo mafanikio yako.
Naomba sasa nitumie nafasi hii kukutaka usitishi mpango wako.
Na kuanzia sasa naomba niwe rafiki yako namba moja.
Haiwa naujuaUnafahamu usafiri wa umma unaoitwa daladala?
Thank u alotYap umetulia na unaonekana una kila cifa

Wewe huruhusiwi kuondoka humu umeelewa ... Yaani we uondoke wee .....acha matani ya ngumi weweHahaha
Au niondoke saivi tuu
Mnataka kunipakazia eemm pm yang nyeupeee Sina bahat jf
![]()
kwa njia hii bahat mbna unapata. Inabd utu pm wewe labda. Jarbu kunipmShukran sana,jf sirudi tenaNakutakia mfungo mwema, ukimaliza uje tena jf

Namba zako bac (pm) dearThank u alot![]()
UsiondokeHahaha
Au niondoke saivi tuu
ukaja kuwaliza kwa Mara ingineTutawasliana pm dear then ntakupaKabla hujaondoka namba zako
Basi njoo pm nikuagize dadanguShukran sana,jf sirudi tena![]()
Mijana mike mingine banah. Unatafuta kiki kwa nguvu. Ukijitoa si inatuhusu niniHali zenu wapendwa.
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.![]()
System yake ikoje kuhusu abiria kwenye upakiaji?Haiwa naujua
HahahaSky aliaga jukwaa gani? Mweeh namie itabidi niage sasa
umekua mchezo sasaOhhh,owkeySimkumbuki