Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,230
- 5,416
Hapana. 1k tayari, tulia!Really,sidhani,inamaana Kila anaeaga kwa wapendwa wake manake anataka kubembelezwa?
Hapana. 1k tayari, tulia!Really,sidhani,inamaana Kila anaeaga kwa wapendwa wake manake anataka kubembelezwa?
Hakuna nakumbuka kbsaa ukisema acha hizo. Wewe kaa tu na shem wangu hana shida kbsaMwanzo wapitag it I see.
Nimemwambia shem wanguOouh kumbe hana mtu....
Nimeshamuelewa. Hata mimi sina nipo single AKA singeli
Sanaaa. Ila Bonny amekuwa akiziba pengo lango
Bora umwambie tu maana stun ananiringishia bwanaNimemwambia shem wangu
Uzi gan huo?Nina bf yupo humuhumu jfHakuna nakumbuka kbsaa ukisema acha hizo. Wewe kaa tu na shem wangu hana shida kbsa


Ntakuibia ohooNakupenda bure
HahahaHiyo keyboard vipi? Maana mpaka inatabiri maneno kabla hujamalizia
Hapo naogopa mieeeHaaaa hata huku tenaaaaa
Kwa hiyo undugu umeisha nikutongoze?
Babuuu
AaamenSi ww huishiwi vituko![]()
Aandike aachane na longo longo
Hahahahaha
Hahaha
Kwakweli huu uzi sijui utaishia wapiAandike aachane na longo longo


Poa Poa tajiri yetuNiko hapa