Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
Si yameshaisha jaman tunahamia kwenye namba sa hviwe Bonny nakuona ujue
Si yameshaisha jaman tunahamia kwenye namba sa hviwe Bonny nakuona ujue
Ha ha ha ha nin hyo aiseeHahahaha usiniombe ile nanihii![]()
Umesahau siku ile ulivonitukana ktk Ile thread yangu,nkakukaushia,Ila nshakusamehe,namuachia munguArabian Queen naomba namba zako nitakucheki kuna issue ya muhimu nataka nikuambie

Ha ha hahaSawa ila sio kwa kulazimisha huko![]()
![]()
Umesusa bas sawa muachie Arabian queen aje aleHata sitaki tena![]()
![]()
Mm sitaki kihivyo. Nataka uwe na msimamo na mm tu no matter yupo ama hayupo![]()
![]()


hahaha good.mana anajipa Moyo kisa naondoka,au nighairi yaan.
bahat yako staki kubak jfHa ha ha ha nauliza utatoa utoiNshamkatazaaa askupee kwanzaaa
Naomba utuongezee hata ka wiki tutembetembe humu jf sio unavyotuaga kwa gafla hivi maana hadi kimeo changu hiki kilizima nilivyoona huu uzi.ukaniagie na mzeewakungoa pia
Mwisho was siku namuachia jje's na beby wake,Mana mm ninawangu atiHii vita ngumu ila tutashinda ngoja tuone mwisho wake
nlikua namchemsha kdg,yuko vizuri yaan,she z so perfectNi kweli usemayo,Shukran sana unakaribishwa,lastly ntaeka jina then najitoa jfMtu anayeaga huwa anatia huzuni sana kwa aliowaaga, Cha ziada kinaweza kupatikana pia. Binafsi instagram nilitoka mwaka wa pili huu. Nita install kwa ajili yako.

Hahaha mm nshapitisha huruma tayariSasa y anakuombea hivyo wkt huruma ishakuingia
Wacha ale tu sina hofu naye kwa kuwa najua kesho jioni anasepa.Umesusa bas sawa muachie Arabian queen aje ale

ThnxKila LA heri, karibu tena,
Hahaha alafu weweeeeHahaha
Sakayo added you

HahahahaWala usimpe huyo muache. Na akija kwangu wala simpi nimeshaghairi.![]()
sjui atapewa na nani
Mbn haya mapenzi hata kutoka jf kichwa chaumaNtakuadd kila siku ujue...
Sakayo added you
