Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
Kizur kula na mwenzio![]()
![]()
Ngumu kumeza aisee
Kizur kula na mwenzio![]()
![]()
Ngumu kumeza aisee
Share gani tena
Sakayo add Arabian qeen
share naanza kuivunja ,
Mm sitaki kihivyo. Nataka uwe na msimamo na mm tu no matter yupo ama hayupoNmechagua uande wako shem sina namna huyu kesho anaondika ntabaki na nan?

Hii vita ngumu ila tutashinda ngoja tuone mwisho wakeSanteeee![]()
Hutaki no yangu eeSjakugeuka ila...... unajua huyu shemej yangu sana nje ndan


Mnooootunakujaza mawazo ee
Mtu anayeaga huwa anatia huzuni sana kwa aliowaaga, Cha ziada kinaweza kupatikana pia. Binafsi instagram nilitoka mwaka wa pili huu. Nita install kwa ajili yako.wonders.kwanini !!Kuna Cha ziada kimekuvutia,najua kwasbabu ya kuwaaga,Ila mwisho ntaandika jina la account yang ya insta nawaalika nyote kule mtajifunza mengi pia
Sasa y anakuombea hivyo wkt huruma ishakuingiaAnasema panapo majaaliwa![]()
Ahaa hilo tu ndio unashindwa ungekubal tu halafu ule muda wa kunena kwa lugha ungenenea mauongon mwake akiuliza unasema roho mtakatifu kakushukia
Ntamwambia emmyta awe anakupigiaHutaki no yangu ee![]()
Insha Allah sitorud tena jf,ndio Mana nkaaga.na kuaga ni lengo la kwa wale niliozeana nao tu,kama kwako ni normal pita tu mkuuSo what hii mambo mnajiunga then baadae kuja kutuaga halafu baada ya miezi michache kurudi tena hatutaki. Uliingia kimya toka kimya.

Hahahaha usiniombe ile nanihiiHa ha ha ha ukwel mwengne sio mzur

Nani kakuvurugaMshanivuruga teali

Hahahashare naanza kuivunja ,
Hadi anatilisha huruma maskini
Siwez kumfanyia hivo
HahahaBby angu ana vitu adimu siko tayar kumpoteza mie![]()
sikuibii beby wako tena nshaghairiMasha Allah,Allah akuekeSisi wengine tumeapa mpaka kufa na jf wengine wanajitoa
SanteeeHahahasikuibii beby wako tena nshaghairi