Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Am sorryEeeeeeeh!
Kumbeee? Funguka dada..
Napitia Mahali kukununulia zawadi sasa hivi..
What happened?
Am sorryEeeeeeeh!
Kumbeee? Funguka dada..
Napitia Mahali kukununulia zawadi sasa hivi..
What happened?
Hahahaaaa!Ha ha ha ha na ndio maana umerud fastaaa
SawaMie ntaingia baadae onlinenashuulika kidogo wapenzi
HayaMama unajua shughuli zangu!
Be patient! Ukipenda Ua penda na boga lake
Umefanya jema sababu hapa ni tulizo la kila kitu. Hizo pm usipozijibu si watachoka. Badili avatar weka mbaya ili wasikufate au acha neutral huna haja ya kuweka chochote ila hilo jina mhu najua shiiida. Watu wanavutiwa na mambo mengi, ID, avatar, na contribution zako hivyo kama contribution zako ni nzuri usilalamike ila kama ni hizo mbili badili picha na jina ila ubaki.Sijitoi tena mpendwa nishaghairi,nliamua tu mm binafsi,pm zilikua full na sikutegemea,imenibidi tu nitulie na my frendz hapa
PleaseYaani kumbe kuna kiumbe alikuwa ananitingisha?
Who was that?
Eeeh! Naona watu wanataka Ban za lazima...Utaelewa tuu
Anataka anipe Kakake
HamnaHahahaaaa!
Nani alikuwa anawinda Ua langu mkuu?
Zoez inaanza sa ngap maana Leo dada kakubal kubak so naanza zoez mapemaaNipooo
Hebu narrate vizuri..! Hilo sekeseke limekaa vipi?Am sorry
Jioni bhasiZoez inaanza sa ngap maana Leo dada kakubal kubak so naanza zoez mapemaa
In Shaa Allah tukutane baadae ukirudi usiache kunitagMie ntaingia baadae onlinenashuulika kidogo wapenzi
Naenda kununua petroli sasa hivi ujue..Hamna
Nimependwa bhana ila si wajua ni kawaida tuuHebu narrate vizuri..! Hilo sekeseke limekaa vipi?