Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
- #1,981
Kwa mahaba haya naogopa hata kuondokaHawaendi popote hawa
Kwa mahaba haya naogopa hata kuondokaHawaendi popote hawa
Lolntawageuka ohooo
Geuka tu shoga angu ndio tunavyotaka iwe hivyoHahahahahahaYaani
Kaparo mvivu kweeli
Kawarudishe tuuSasa maua yote yanajitoa, mm nitabaki nafanya nn!![]()
Eti kwa mashabiki wote hawa. Nitamshangaa kwa kweli.Anaanzaje kuondoka sasaa

Mabom ya machoziNimejivika mabomu

HahahaMda si mrefu mpendwa,kwa mahaba haya ,sitokusahau ww Wala emmyta,n wengine lazma niwaalike![]()
YaaniPita tu![]()
Mjua nawaona nawaona.sakayoo
Ww nakuekea Kaka yang
Lazma tuyaongee
.Mwisho wa uzi ntaamuaNikwambie kitu usiondoke basi kabisa punguza tu kuingia shoga angu![]()
![]()

Sina la kusema my wi zaidi ya mshangao tu. Kwema huko?Hahaha
My wii, Wambaze
Thubutuuu...Lolntawageuka ohooo
AiseeYaani
Kaparo mvivu kweeli
Ameeensakayoo
Ww nakuekea Kaka yang
Lazma tuyaongee
Ahaa kumbe mnatuchoraKwa mahaba haya naogopa hata kuondoka
Woyooooobwana atabakia tu ,atanichaje kwa mfno,si ntaibiwa
![]()
LolUende wapi kwa mfano
Sakayo added you

Nausubiri kwa hamu huo mualiko ujue.Mda si mrefu mpendwa,kwa mahaba haya ,sitokusahau ww Wala emmyta,n wengine lazma niwaalike![]()
