Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
Wakuu nahitaji kujua nice nitatumia solar ya watt ngapi? Na betri la AH/N ngapi? Ili niweze kuwasha taa mbili na kucharge simu mbili zenye jumla ya mAh 6000 kila siku hata kipindi cha kifuku.
Naomba kujua na bei
Naomba kujua na bei
