Nitatokahe chattel..

Pitia njia za panya,au wamezungusha ukuta kijiji chote

Nilifanya hivyo mkuu, ilinilazimu kutafuta mwanamke mwenyeji baada ya siku mbili hivi akanipa chocho zote na kunitoa salama.

Shida sasa natamani kurudi kwa yule mwenyeji wangu,sijui kama zile chocho zitanisaidia tena
 
Mkuu hii siyo riwaya ambayo imeacha 'ombwe' ili hadhira ijazie nyamanyama?

Maana wasukuma tunawajua kwa 'kuzungushia' neno!

Mtu anatumia nafsi ya tatu kukusengenya na kukunanga ukiwa umekaa naye hapohapo na usimuelewe!

Sent using Jamii Forums mobile app

Niwie radhi mkuu nilipata mushkeri kidogo wa kiafya baada ya kuhitimisha safari yangu. Sikuweza kutoa update.

Nikikaa sawa nitarudi tena huko nione hali imekuwaje ila nionavyo itakuwa tu swala la usalama wa Baba yetu
 
Back
Top Bottom