nitashinda vipi hii vita?!

nitashinda vipi hii vita?!

heshima kwenu wana jf

mimi nina mpenzi wangu ninae mpenda sanaa sasa tulikaa muda kama mwenzi mmoja bila kuonana but tulikua tuna chat tu nakuongea kwenye simuu sasa kabla yangu alikua ana mpenzi

walipo achana ndo akanipa nafasi mimi sasa amerudi tena akaenda direct kwa mama wa huyo bintii then mama ana mforce kuolewa na huyo binti anamuogopa sana mama yake so ameniambia eti niwe mume mdogo kwasababu ananipendaa

sasa nilipo kua kimya then nikamwambia aniache akaamua kuja home kabisa sasa alivo kuja akaanza kulia nola nakusema ana lazimishwa nika m bembeleza then tukaingia penzinii

baada ya kutoka penzini wakati tunaongea nikawa na mpa maneno ya kumchoma coz anataka kuniacha sasa akisikia hayo maneno anashindwa kuniacha anasema roho inamsutaa

sasa yuko njianii anaenda kwaoo nika mtumia text nikamwambia usikubali kuolewa ukaniacha yeye ananiambia nisiogopee hato kubali lakin moyoni nina hofuu

wakubwa nifanye nini nishinde vita hii coz nampenda sanaa.....

mpe mimba.
 
Ukiona kuwa unatakiwa kumshawishi aendelee kuwa na wewe au kuna mazingira ya kwamba unatakiwa umshawishi akuchague wewe wakati wewe hujafanya kosa lolote basi ndugu hapo imekula kwako.Wanawake wote wanapenda kuolewa,sasa kwasababu wewe huonyeshi kuwa serious na ndoa basi mwenzio ndio anachukua.

Usilazimishe,wewe mwambie kuwa unamuachia yeye afanye maamuzi.
 
Kubali kuwa mume mdogo, hupati shida za matunzo
 
Back
Top Bottom