Nitashangaa sana Emmanuel Masonga ukisaliti Chadema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,568
Reaction score
272,314
Nakufahamu kwa namna ulivyopigania Chadema kwa muda mrefu tena kwa gharama ya damu

Ulifungwa jela kwa kesi ya uongo Ukiwa Pamoja na. Sugu, najua unanifahamu vizuri n.a. unafahamu ushirikiano wetu ulipokuwa Katibu wa Kanda ya Nyasa, naujua uwezo wako na heshima ambayo watu wa Njombe wamekupa

Nitashangaa sana Ukisaliti siasa za Ukombozi.
 
Hii biashara haramu imeanza tena halafu naona kama inashika kasi
 
Nakufahamu kwa namna ulivyopigania Chadema kwa muda mrefu tena kwa gharama ya damu

Ulifungwa jela kwa kesi ya uongo Ukiwa Pamoja na. Sugu, najua unanifahamu vizuri n.a. unafahamu ushirikiano wetu ulipokuwa Katibu wa Kanda ya Nyasa, naujua uwezo wako na heshima ambayo watu wa Njombe wamekupa

Nitashangaa sana Ukisaliti siasa za Ukombozi.
Mkuu Wacha wanaotaka kuondoka waondoke, maana wakibaki itakuwa tatizo. Kama Slaa, Msigwa, Halima Mdee nk walizingua, itakuwa huyo. Kwa sasa iko kwa wananchi sio kwa viongozi wasaka maslahi binafsi.
 
Nakufahamu kwa namna ulivyopigania Chadema kwa muda mrefu tena kwa gharama ya damu

Ulifungwa jela kwa kesi ya uongo Ukiwa Pamoja na. Sugu, najua unanifahamu vizuri n.a. unafahamu ushirikiano wetu ulipokuwa Katibu wa Kanda ya Nyasa, naujua uwezo wako na heshima ambayo watu wa Njombe wamekupa

Nitashangaa sana Ukisaliti siasa za Ukombozi.
Acha kulia lia. Kila mtu ana haki ya kufikiri anavyotaka😁
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom