omtiti
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 1,021
- 1,591
Wazee wastaafu wa nchi hii,ninyi mmepata kuhudumu kwa vipindi tofauti,na kila mmoja wao tulijionea mliyoyatenda mkampa mzigo mkubwa mwenyekiti wa wakati huo,Mzee Kikwete,mlishindwa kusimamia misingi na miiko ya CCM mkakipeleka chama sehem ambayo haikuwa salama,kimsingi kwa sasa mmepata heshima kubwa ya kupumzika huu uwanja kwa heshima yenu tunawataka mnyamaze fanyeni yanayo wahusu.
Tunatambua kuwa jeuri na kiburi alicho kuwa nacho Nape kilitokana na ninyi kuwa nyuma yake.Tunatambua mlivujisha hata baadhi ya siri na propaganda wakati wa Mange mkimsaidia mange kumtukana na kumnanga Rais Magufuli,Tunatambua,mlimtuma Mwigulu Nchemba kujitutumua akaonesha dharau za wazi wazi,tunatambua mnamtumia sana January Makamba na Bashe kwa sasa kukwamisha juhudi za serikali na chama tunawafaham,tunawafaham kuwa mnakinyongo sana na Rais kwasababu amekataa kuendesha nchi kama mnavotaka ninyi,Bali Rais anasimamia msingi ya sheria,kanuni na taratibu tunawafaham hayo..
Tunafaham January Makamba alivotaka kujiuzuru mlimshawishi abaki kwa makusudi yenu binafsi,Tunatambua kuwa harakati zote za Lazaro Nyalandu ni ninyi mnazifadhili,Tunatambua! Mlitaka 2025 Makamba au Mwigulu mmoja wao apewe nchi kama pipi, tunafaham kuwa kwa sasa hiyo haipo mmeumia sana,tunafaham kuwa Wakati kinana unastaafu ulizani utakidhoofisha na kukiua chama tunafaham hayo yote lakin tumeamua kuwapa heshima ya kuwa wastaafu,tunafaham kuwa Vijana wenu mliowapa UDC,URC, na sasa wamepanguliwa imewakwaza tunafaham hayo yote,tunaomba kuendelea kustaafu vizuri muachane na habari ya kutaka kuwagawa wana chama! Kama Mzee Makamba Inaweza kusema "ya uchaguzi hayawahusu" basi na sisi tunasema hayo hayatuhusu huu sio muda wa kubembelezana,sio muda wa kuonana haya,Chama kipo imara na kitazidi kuwa imara kwa Leo naomba niishie hapa.