Nitarudisha kadi ya CHADEMA haraka sana...

BABAAKUBWA

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
120
Reaction score
27
Toka nizaliwe sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na CHADEMA.

Nilijiunga chadema mwaka 2000 na nimefanya makubwa ktk chama kwenye eneo langu: Kwa mchango wangu na wengine, CHADEMA imekuwa ikishinda toka ngazi ya kitongoji hadi rais: Tulinyakua vitongoji vitatu kati ya vinne, m/kiti wa serikali ya kijiji,diwani na mbunge hata mgombea urais wa CHADEMA dr. Slaa alimshnda Kikwete ktk ngazi ya kijiji changu, kata yangu, tarafa na wilaya niliko. Japo mchango huu kwa wahafidhina ni upuzi mtupu!

Ninaipenda CHADEMA kuliko Mbowe,Slaa,Lema, lissu na wengineo kwani mimi katk kazi na mchango wangu kwa CHADEMA sijawahi kulipwa wala kukopeshwa na saccos ya cdm. Ni bure! Ila Mbowe, Slaa n.k wanalipwa mishahara, wanajilipa posho, wanajikopesha bila riba pesa ya chama, na pia wanachukua hongo kwa mafisadi n.k!!

Siku katiba ikiridhia mgombea binafsi nitarudisha kadi ya CHADEMA. Inauma kuona CHADEMA imesimama kwa jasho la wanyonge, halafu wakubwa wamekigeuza kuwa mradi wao na vimada wao!
Ni hatari sana!
0766353543
 
Sixgate ids. Very delayed to go. Hujui uongozi unatakiwa ugombee uongozi kutokana na juhudi zako
 
Sixgate ids. Very delayed to go. Hujui uongozi unatakiwa ugombee uongozi kutokana na juhudi zako. Km kweli go
 
Bado upo unasubiri nini..kiwavi jeshi mkubwa wewe.
 
Toka nizaliwe sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na cdm.

Nilijiunga chadema mwaka 2000 na nimefanya makubwa ktk chama kwenye eneo langu: Kwa mchango wangu na wengine, cdm imekuwa ikishinda toka ngazi ya kitongoji hadi rais: Tulinyakua vitongoji vitatu kati ya vinne, m/kiti wa serikali ya kijiji,diwani na mbunge.hata mgombea urais wa cdm dr slaa alimshnda kikwete ktk ngazi ya kijiji changu, kata yangu, tarafa na wilaya niliko. Japo mchango huu kwa wahafidhina ni upuzi mtupu!

Ninaipenda chadema kuliko mbowe,slaa,lema, lissu na wengineo kwani mimi katk kazi na mchango wangu kwa cdm sijawahi kulipwa wala kukopeshwa na saccos ya cdm. Ni bure! Ila mbowe, slaa n.k wanalipwa mishahara, wanajilipa posho, wanajikopesha bila riba pesa ya chama, na pia wanachukua hongo kwa mafisadi n.k!!

Siku katiba ikiridhia mgombea binafsi nitarudisha kadi ya cdm. Inauma kuona cdm imesimama kwa jasho la wanyonge, halafu wakubwa wamekigeuza kuwa mradi wao na vimada wao!
Ni hatari sana!
0766353543
weka picha yako ili tuchangie vizuri
 
si uende unamtishia nani nyau, chadema ni chama imara sana hakitishwi na mjinga mjinga yeyote,chini ya uongozi wa kamanda mkuu mbowe, hakuna hasiye kijua chadema mkubwa hata mdogo, nasikia zito mwigamba mkumbo,wana harakati za chama kipya nendauko, mtuachie chama chetu na viongozi wetu wa pambanaji, wanao wajibika mpaka magamba wanakosa usingizi, nendeni mkajaribu kwingine sio cdm,
 
Sasa wanachama wote wanaoshabikia na kupigia kura CDM, CCM na vyama vingine wawe viongozi ili wapate fedha hapana Viongozi wanakuwa wachache wenye uwezo wa kuweka mazingira ya sisi kupata mahitaji yetu na pia kujenga mazingira ambayo yatamlinda mnyonge kunyonywa na mabepari bila kusahau kutoa huduma za jamii kutokana na kodi zetu hayo ndio mambo yanayotufanya tuwachague baadhi yetu watuongoze na fursa hiyo wanaipata kupitia vyama vya siasa.
Ushauri wangu kwako fanya kazi kwa bidii hatuwezi wote kuwa viongozi bila kusahau kutafuta viongozi bora ili asije kutumia kodi yetu kujinufaisha yeye binafsi na kusahau kutuletea huduma za kijamii na kiuchumi.
 
wakati unajiunga ulimtangazia nani???? acha upimbi!!!
 
Toka nizaliwe sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na cdm.

Nilijiunga chadema mwaka 2000 na nimefanya makubwa ktk chama kwenye eneo langu: Kwa mchango wangu na wengine, cdm imekuwa ikishinda toka ngazi ya kitongoji hadi rais: Tulinyakua vitongoji vitatu kati ya vinne, m/kiti wa serikali ya kijiji,diwani na mbunge.hata mgombea urais wa cdm dr slaa alimshnda kikwete ktk ngazi ya kijiji changu, kata yangu, tarafa na wilaya niliko. Japo mchango huu kwa wahafidhina ni upuzi mtupu!

Ninaipenda chadema kuliko mbowe,slaa,lema, lissu na wengineo kwani mimi katk kazi na mchango wangu kwa cdm sijawahi kulipwa wala kukopeshwa na saccos ya cdm. Ni bure! Ila mbowe, slaa n.k wanalipwa mishahara, wanajilipa posho, wanajikopesha bila riba pesa ya chama, na pia wanachukua hongo kwa mafisadi n.k!!

Siku katiba ikiridhia mgombea binafsi nitarudisha kadi ya cdm. Inauma kuona cdm imesimama kwa jasho la wanyonge, halafu wakubwa wamekigeuza kuwa mradi wao na vimada wao!
Ni hatari sana!
0766353543

Kwa kweli thread yako inauma sana kutokana na fikra zako za ki-majungu,fitna,uwongo na ulaghai.Kwanza ungetaja jina lako la kweli,kitongoji chako,kijiji,kata,tarafa,jimbo,wilaya na mkoa wako ili uwe mkweli.Pili CDM si saccos kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa tanzania,hivyo kama ulijiunga na chama kwa malengo ya kukopeshwa pesa na chama ulipotea kabisa.Kuwa mtu mwenye utu,yaani utambue thamani yako na wengine,maandalizi ya chama cha siasa chochote ni kukamata dola na si kugawa pesa kwa mtu mmoja mmoja,chama pekee ambacho kiliweza kutangaza kujaza mapesa mfukoni mwa mtu ni UDP mwaka 1995,nadhani ungeenda kumwona bwana mapesa akuelekeze.DAIMA WANYONGE NDIO WANAOJENGA CHAMA,MATAJIRI HAWAJENGI CHAMA BALI KUWANYONYA WANYONGE,KATAA KUUNGANA MATAJIRI KATIKA CHAMA.
 
ondoka haraka.chadema haitishwi na wannafiki wachumia tumbo na vibaraka wa ccm.

mnafiki ni mm au wewe na akina mbowe wako? Kama analipwa mshahara na chama (uwenyekt wa) ,selikali (ubunge), na bado anapokea pesa za akina rostam, mkono, lowasa, n.k. Kukihujumu chama, uzalendo wake uko wapi? Kiongozi gani ananyamazia matatizo ya wananchi kama vile kupanda kwa bei za usafiri, umeme, n.k? Kiongozi gani wa chama kinachotaka ridhaa ya wananchi kuingia ikulu huku akikaa kimya kuhusu wabunge kujilipa kinyemela 16o milion?
Mtaji wake ni upi kama anapuuza haya? Aibu yenu wahafidhina> hasara yenu kisiasa.
 
Goblin.jpg
 
Umezungumza ukweli ila Laggars hawataki
 
Wale wasaliti pamoja na Zito wanashinda humu wanatengeneza nyuzi.Huna hata kitongoji chochote ulicho saidia,kwavyovyote uko mjini unatafuta risk.Watu ulio wataja ndiyo walio fanya cdm iwe na nguvu hivyo hata wewe ukapata nafasi ya kufanya usaliti.Mwana cdm yoyote anapo ona chama kinakwenda vizuri hatajali mambo ya hela,ndiyo zimepelekea mafanikio hayo
 
mnafiki ni mm au wewe na akina mbowe wako? Kama analipwa mshahara na chama (uwenyekt wa) ,selikali (ubunge), na bado anapokea pesa za akina rostam, mkono, lowasa, n.k. Kukihujumu chama, uzalendo wake uko wapi? Kiongozi gani ananyamazia matatizo ya wananchi kama vile kupanda kwa bei za usafiri, umeme, n.k? Kiongozi gani wa chama kinachotaka ridhaa ya wananchi kuingia ikulu huku akikaa kimya kuhusu wabunge kujilipa kinyemela 16o milion?
Mtaji wake ni upi kama anapuuza haya? Aibu yenu wahafidhina> hasara yenu kisiasa.
Nitakuunga mkono kama utaniwekea evidence, vinginevyo ni umbea tu!
 
Back
Top Bottom