Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Mbwembwe nyiiiingi kumbe Israil yupo next door ha ha haaaa!
usimtaje kabisa huyo kiumbe kwa leo, labda kesho.
Mbwembwe nyiiiingi kumbe Israil yupo next door ha ha haaaa!
mkuu upo?ilibaki kidogo nianzishe thread ya R.I.P horseshoe arch.....
Waoh! Tena ukianzisha ningefurahi sana kuona watu wanavyomwaga sympathy zao nikishuhudia....kuna huyu nanihii anayedai ananipenda sana ningetaka kuona kama ni kweli ama ilikuwa geresha maana mwenye simanzi ya ukwel utamjua kwa kusoma macho yake!
usimtaje kabisa huyo kiumbe kwa leo, labda kesho.
Mbwembwe nyiiiingi kumbe Israil yupo next door ha ha haaaa!
kozo okamoto rafiki na wewe pia hope utafika... mimi hapa napambana mpaka nifike sikubali kabisa mpe hi mama watoto
usimtaje kabisa huyo kiumbe kwa leo, labda kesho.
kozo okamoto rafiki na wewe pia hope utafika... mimi hapa napambana mpaka nifike sikubali kabisa mpe hi mama watoto
binafsi sioni tofauti kati ya kufa leo na kesho,kufa ni kufa tu,wapi,lini,vipi haibadilishi uhalisia.
Nasikia mwisho wa mwaka mkuu Mungu anafanya majumuisho yake so anayejitolea kwenda bila shuruti anaingia peponi moja kwa moja!
naamini mama yeyooo nae atafika tu.shikamoo nyingi kwako mtu wangu
lazima afike ... haika mbe ndetaramo
mwe!!!msamiati huo kwa kikurya haupo kabisa,labda utafasiri
nimekwambia asante baba na hongera
kazi ninayo,eti hakuna kadikshonari ka hii lugha unitumie ili siku nyingine nisifikiri umenitukana kikwenu?