nimekaribia sana!Karibu sana Kilwa kivinje na siku nyingine tena ukija usisahau kwenda kutembea Kilwa kisiwani.
Maendeleo hayana chama
Anataka kumla mpishi wa mbogaKwa hiyo una plans za kurudi huko sababu ya mboga?[emoji134]
kabsaaa, imenihamasisha....ni catalyst (catalist?) ktk hiliKwa hiyo una plans za kurudi huko sababu ya mboga?🙆
Dada yake mimi mronge ladha yake inafananafanana na kisamvu cha kopo hivyo lazima arudi kilwa kivinje huyo.Kwa hiyo una plans za kurudi huko sababu ya mboga?[emoji134]
ni pazuri kwakweliDah kilwa kivinje. Mara ya kwanza nilifika huko kumzika marehemu mzee wangu, nilipapenda sana mpaka sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mronge mie siifahamu kaka akeDada yake mimi mronge ladha yake inafananafanana na kisamvu cha kopo hivyo lazima arudi kilwa kivinje huyo.
Maendeleo hayana chama
dah, acha tu,...wanaita kwa mkocho kama sikoseiUsisite pia kusimama hapa singino njia panda ya kwenda kivinje iwe unatokea masoko au nangurukuru ule madafu
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mboga inayotoka ktk miti flani hivi ambayo maeneo mengi tunaitumia kama mapambo (maua) tu. zaidi zinasikika mbegu zake tu kuwa ni dawa.....malaria n.k. majani yake kumbe kule kilwa ni mboga.....kiukweli, kwangu mimi, inanukia vzr na ina ladha maridhawa kabisa. ilitiwa nazi!Hiyo mronge mie siifahamu kaka ake
Japo kisamvu huwa nakipenda kweli
ni hiyo ya mrongi kiongoziBado najaribu kuwaza aina ya mboga uliyokula, naamini siyo mboga ya kwaida mkuu hebu funguka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana, siku nyingine ukipita Somanga hapa ni PMkitakachonirudisha ni ile ladha ya mboga ya mrongi niliyokula pale kwa dada mmoja mama ntilie karibu na guest niliyofikia ya Upendo. kabla nilikuwa sijawahi kula na hata sikufikiria kuwa ni mboga......nilivyouliza na kujibiwa kuwa kuna mboga ya mrongi, nikaona ngoja nijaribu. yaliyonikuta ndo hayo, lazima nirudi tena kule, wallah!!!!
nyongeza:
jirani na Upendo guest house nilipofikia, kuna gues moja ndogo hv.....kuna kina dada hapo muda wote wanapiga story, nilipomhoji mhudumu, ambaye pia ni wa kike, alijibu kuwa hao ni wanunuzi tu wa samaki kutoka kusini na wanapenda kufikia pale sababu ni rahisi sana hivyo wanaweza kukaa siku nyingi wanazohitaji kwa ajili ya kufuatilia na kusubiria mzigo! sijui amenidanganya yule?!!!!!
ndo hivyo jamani......nimetokea kukupenda kilwa kivinje!
Ewaaa karibu ule dafudinda sio madafu hayo ya daslamudah, acha tu,...wanaita kwa mkocho kama sikosei