Nitapataje user manual ya mashine hii?

Nitapataje user manual ya mashine hii?

kobo

Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Kuna mashine za kukamua maziwa za kituruki zimekuja bila kitab cha maelekezo naomben msaid jins yakupata maelekezo.
 
Kuna mashine za kukamua maziwa za kituruki zimekuja bila kitab cha maelekezo naomben msaid jins yakupata maelekezo.

Je zinaitwaje hizo mashine?

Itakuwa rahisi kupata manual yake.
 
Ni zimeandikwa milking machine manufacturing (simsek)type ya machine Ni IP55 MDF B 90s 34 4SI 10 S1 Ni single phase
 
nimecheki zipo video youtube, google simsek milking machine then click video zitakuja result za video unaweza pata mwanga zaidi
 
Back
Top Bottom