Nitapataje simu yangu iliyoibiwa?

mwibi

Senior Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
131
Reaction score
79
Naomba mnipe mawazo na msaada namna ya kupata simu yangu iliyopotea.

Simu imeibiwa ndani ya week moja iliyopita na laini zangu hazikuwa hewan lakini toka majuzi kila nikipiga kwenye lain zangu zinapatikana lakini hazipokelewi.

Je, hakuna namna yeyote ya kuweza kujua zilipo au zinapotumika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…