Nitapataje AK 47 kama ADAM MALIMA?

Hivi hiyo AK 47 unweza hata kuitumia wakati jeshi la kujenga taifa limefutwa hatunatena mafunzo ya kivita?
 
Kula viti moto kama adamu aalivyokula kule moro sema akukipoooza kikamuunguza
 
Uyo ni Malima,je JK si analala na kifanu chumbani,nendeni magogoni muangali vizuri kama hamja kikuta.
 
Uyo ni Malima,je JK si analala na kifaru chumbani,nendeni magogoni muangali vizuri kama hamja kikuta.
 

Kama ni kweli Malima anamiliki AK basi CCM waache kuanzia leo kutuimbia nyimbo za Tanzania nchi ya amani, hakuna nchi ya amani popote duniani inayomilikisha raia wake bunduki za kivita!
 
silaha zote hizo za nini!njoo kwa babu huku anakupa bomu la nyuki; akitaka mtu kukudhuru unamrushia tu..
 
silaha zote hizo za nini!njoo kwa babu huku anakupa bomu la nyuki; akitaka mtu kukudhuru unamrushia tu..

Nchi hii ni ya Amani na utulivu! Hatuhitaji AK 47, Pistol wala nyuki
 
alidhania anakula kuku wa kizungu, chezeiya kuku wa kienyeji wewe?
 

wakuu, mi nahitaji kujua vema kuhusu haya makitu: Machine gun, sujui tena sub-machine gun, afu ak-47, sijui tena kuna na "automatic" ak-47 etc etc
kwa mwenye kuyajua vizuri kabisa em anijuze tafadhali, nataka kujiajiri kwenye hii mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…