Nitapata wapi vifaa vya stationery kwa bei ya jumla

Mi pia natafuta, naomba kujua bei ta photocopy machine ile ya auto. Na ya kawaida.
 
Ukitaka kupata vifaa vya stationary vyenye ubora na vyenye sifa,pamoja na mashine za photocopy,printer pamoja na wino wake,watafute hawa jamaa wanaitwa masumin wapo posta dar es salaam,kama utahitaj msaada zaid nitafute kwenye email yang rajabsalum889@gmail.com
 
Kwa maana wewe unahusika Masumin au vipi Mkuu?
 
Kariakoo Mtaa wa Lindi karibu kabisa na msikiti wa Lindi, Duka la Shire, Namba 0713 182 299
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom