Nitapata wapi viagra ini boost?

Nitapata wapi viagra ini boost?

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,023
Habari wana MMU,
Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali nagegeda na hivyo basi naishiwa hamu na kipochi chake -hali hii ina sababisha ugomvi wa mara kwa mara kwa sababu ya wivu nyumbani kiasi kwamba naanza kuichukia ndoa yangu.
Sasa katika pita pita yangu nilishawahi kupata stori ya viagra na shughuli yake,sasa je nitaipata wapi ili niu boot mgegedo wangu na furaha ya ndoa irudi kama zamani?5(per night or more.)
 
You arent serious man......ok kwakukusaidia kama ni kweli, hao hao wanaawake wanakuaga na natural viagra zao ukishindwa kabisa fuata maelekezo kwenye picha hii. Picha kwa Hisani ya Bujibuji
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Kafanye mazoezi kaka viagra sio ishu! kula vizuri, pumzika, ondoa stress na ballance uzito, sigara na pombe/miraaa achana navyo!!

Habari wana MMU,
Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali nagegeda na hivyo basi naishiwa hamu na kipochi chake -hali hii ina sababisha ugomvi wa mara kwa mara kwa sababu ya wivu nyumbani kiasi kwamba naanza kuichukia ndoa yangu.
Sasa katika pita pita yangu nilishawahi kupata stori ya viagra na shughuli yake,sasa je nitaipata wapi ili niu boot mgegedo wangu na furaha ya ndoa irudi kama zamani?5(per night or more.)
 
Habari wana MMU,
Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali nagegeda na hivyo basi naishiwa hamu na kipochi chake -hali hii ina sababisha ugomvi wa mara kwa mara kwa sababu ya wivu nyumbani kiasi kwamba naanza kuichukia ndoa yangu.
Sasa katika pita pita yangu nilishawahi kupata stori ya viagra na shughuli yake,sasa je nitaipata wapi ili niu boot mgegedo wangu na furaha ya ndoa irudi kama zamani?5(per night or more.)
-Aisee wewe ni kiboko! 5 times over one night? Akina dada mna kazi...!
 
Natural viagra inaandaliwa kama ifuatavyo,tafuta tikit maj kamua juisi halafu uichemshe hyo juisi,ikichemka changanya na limao,baada ya hapo hakikisha inapoa vizuri,ikishapoa kunywa baada ya hapo uje utoe ripot tafadhari!
 
Kafanye mazoezi kaka viagra sio ishu! kula vizuri, pumzika, ondoa stress na ballance uzito, sigara na pombe/miraaa achana navyo!!
sawa mkuu lakini kati ya hivyo ulivyotaja situmii mimi starehe yangu ndo hiyo hapo ambayo naomba msaada wa kuishiwa nguvu
 
Natural viagra inaandaliwa kama ifuatavyo,tafuta tikit maj kamua juisi halafu uichemshe hyo juisi,ikichemka changanya na limao,baada ya hapo hakikisha inapoa vizuri,ikishapoa kunywa baada ya hapo uje utoe ripot tafadhari!
safi mkuu kwa ushauri hii nitaijaribu leo
 
Back
Top Bottom