Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,666
Nipo mwanza ninahitaji kutengeneza shamba la kama heka 3. Ningependa kulima kwa tractor. Wadau nisaidie hapa Mwanza maeneo ya Nyegezi tractor nitapataje?
Mkuu nashukuru ngoja niende uko asubuh.Nenda KISESA pale kuna wakulima wengi unaweza kupata tractor, kuna Mzee mmoja anamashine ya kusaga anaitwa doma huyo ni mkulima mzuri na tractor anazo
Huku watu hwawezi kulima unaweza kusumbuana nao bure ni bora kutafta tractor mkamalizana sikuhiyoiyo.Mwanza mbali Trekta kwa idadi ya hekari zako ipo Dar Es Salaam, pia yawezekana wewe si mzaliwa hekari 3 unatafuta Trekta