high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,939
- 2,177
Nina hamu ya kumiliki hicho kisimu je kwa MWANZA kuna sehemu gani wanauza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
agiza online ukishindwa nichekNina hamu ya kumiliki hicho kisimu je kwa MWANZA kuna sehemu gani wanauza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe user experience ya Huawei P9.Hizo simu hata hapa dar bado sijaziona mwenyewe nilizitafuta sana nikaamua kuchukua huawei P9
Mkuu huawei p9 iko poa mno kuanzia battery endurance na hamna lagging kwa sababu ya processor yao ya kirin pia finger print yake ni balaa sidhani kama kuna simu inaweza ipita scanner hii kumbuka Huawei wanatumia co_processor i53 kwaajili ya fingerprints tuNipe user experience ya Huawei P9.
Speed, Battery Life, UI, Lags etc.
Mkuu huawei p9 iko poa mno kuanzia battery endurance na hamna lagging kwa sababu ya processor yao ya kirin pia finger print yake ni balaa sidhani kama kuna simu inaweza ipita scanner hii kumbuka Huawei wanatumia co_processor i53 kwaajili ya fingerprints tu
Nilichogundua kati ya kirin vs snapdragon ni kuwa kirin iko vizuri mno katika performance hasa pale samsung,lg na wengine wanaotumia snapdragon mara kwa mara simu FORCE CLOSE,huku huawei hamna hicho kitu
Nokia 6 nimeisubiri sana bila mafanikio nikaona bora nihamie huawei nashukuru sijajutia pesa yanguShukrani kwa uchambuzi wako mzuri.
Naona Nokia wanazingua, simu zao hadi leo hazipatikani.