Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,661
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza.Ninatafuta mbegu za mchongoma kwa ajili ya kupanda nyumbani kwangu ili iwe kama wigo.Nataka msimu huu wa mvua ndio niipande ili umwagiliaji uwe rahisi. Pia nahitaji kujua huwa michongoma inachukua muda gani mpaka kukua tuseme kwa urefu wa mita 1.