Ronzobe B29
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 242
- 90
Nilidhani ni vitu viwili tofauti, nashukuru kufahamu km Ni kitu kimoja. Kama ni malighafi ya kutengeneza sabuni najua inaitwa caustic soda.
Nitonye pa kuzipata mkuu...Nilidhani ni vitu viwili tofauti, nashukuru kufahamu km Ni kitu kimoja. Kama ni malighafi ya kutengeneza sabuni najua inaitwa caustic soda.
Nenda SIDO utazipata.Wanajanvi natumaini mu-wazima wa afya lakini pia pole nyingi ziende kwa wale wanaojisikia vibaya
Kama kichwa cha uzi hapo juu, Natafta malighafi zifuatazo nitazipata sehemu gani kwa mwanza au kama kuna mtu anajihusisha na hivi vitu naomba tuwasiliane au uweke hapa kwa faida ya wengine pia.
Na ikiwezekana uweke na bei ya kila kimoja mfano kilo au lita
1. Magadi soda
2. Mafuta ya mawese
3. Mafuta ya mosa
4. Glyceline
5. Rangi ya kijani
Nitashukuru sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazo zuriUnataka kutengeneza sabuni mkuu?...lakini kama unamtaji wakutosha mimi naona ni bora ungefunga safari kama nikigoma au mkoa unazalisha kwenda kutafuta hayo mawese, na product zingine
Huku nilipo najua zinapopatikana, kwa huko mwanza sijui mkuu.
Upo mkoa gan....?Huku nilipo najua zinapopatikana, kwa huko mwanza sijui mkuu.
Arusha