Nitapata wapi hii DVD


Kiresua

Kiresua

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Messages
1,174
Likes
9
Points
145
Kiresua

Kiresua

JF-Expert Member
Joined May 13, 2009
1,174 9 145
Wanajamvi!

Nina shauku sana ka kuona ile DVD aliyoandaa Prof Muhongo kuhusu uwekezaji kwenye sect ya Mafuta na Gesi.

Wakati anajibu hoja za washiriki katika Mdahalo ulioandaliwa na UDASA tar 8/12/2013 Prof Muhongo alisema angeweka DVD ili watu waone namna uwekezaji unavyofanyika kwenye secta ya mafuta na gesi, lakini muda wa kuwa hewani kupitia ITV ilikwisha hivyo hatukupata nafasi ya kuona alichoandaa mwanasayansi huyu.

jamani nitapata wapi hii DVD au kilochokuwa ndani ya DVD ile anisaidie.

Asabteni sana
 

Forum statistics

Threads 1,215,341
Members 463,157
Posts 28,544,060