Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,936
- 3,941
Hizi zinapachikwa katika drill machine.
Ahsante boss, be blessed.Kuna duka moja la tools la wahindi, liko maeneo ya Posta pale Askari monument unaacha barabara yakushuka clock tower ,kuna barabara inaingia kulia, mwanzon tu apo. Hata ukiuliza kwa maduka ya wahindi apo around watakuelekeza .... Ukikosa apo, shuka mtaa/barabara ya Morogoro road uko uko Posta wanakouza machinery n tools ,utapata. Pia jaribu na Bosch